WAZIRI MKUU : HARAKISHENI UKARABATI UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

  Waziri Mkuu Kassim akifafanuliwa jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakub wakati akikagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo Machi 1, 2023 jijini Dar es salaam. Katikati ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri